Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tupendanegroup/post/2425
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
25/06/2010 – MATATIZO YA KIKUNDI – Wanachama tulitukutana kujadili tatizo la UKOSEFU WA OFISI YA KIKUNDI. – Kwani mpaka sasa shughuli zote za kikundi zinafanyika SEBULENI kwa Mwenyekiti hivyo kupunguza ufanisi wa shughuli za kikundi.Pia ukosefu wa vitendea kazi unarudisha nyuma shughuli za kikundi.Kikundi kinaomba kuwezeshwa kupatiwa Ofisi na Vitendea kazi ili...
(Bila tafsiri)
Hariri