Base (Swahili) | English |
---|---|
Wanafunzi wa Sekondari ya Mziha wakisikiliza mragibishi akitoa elimu ya usafi na Uzazi kwa wanafunzi wa kike na wakiume mwezi wa tatu mwaka 2012 kama mpango wa kuelimisha jamii. |
Secondary students were listening mragibishi Mziha casting hygiene education and fertility in female students and male in March 2012 as a program to educate the community. |
Translation History
|