Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/uwakusi/post/4
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
UWAKUSHI NA TEYODEN WAINGIA MAKUBALIANO YA KUSAIDIANA – Katika kile kinachoitwa kutandaa asasi mbili zimeingia makubaliano ya pamoja ili kuweza kubadilishana uzoefu wa kazi na stadi mbalimbali. – Asasi ya UWAKUSI na Mtandao wa vijana Manispaa ya Temeke unaojulikana kama TEYODEN umekubaliana kubadilishan uzoefu katika nyanja mbalimbali za kazi ya kushughulikia masuala ya upunguzaji umasikini kwa...
(Bila tafsiri)
Hariri