Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/tosa/news
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
tosa inafanya kazi katika shule za msingi kwa kushirikiana na waalimu na viongozi wa mitaa ili kupata habari sahihi kuhusu watoto wanaohitaji kufadhiliwa na shirika letu – tosa pia inafanya uchunguzi ili kujua wahitaji walio na hali ngumu zaidi na kuwapa kipaumbele.pia inafatilia afya za watoto hao kwa karibu na mahitaji ya chakula inapotokea uhitaji huu. – tosa inatajia kuwasiliana na RITA ili watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira hatarishi wasajiliwe...
(Not translated)
Hindura
(image)
(Not translated)
Hindura
1.Tosa inafanya kampeni za vita dhidi ya malaria kwa kutoa elimu kwaenye shule za msingi na sekondari ,zahanati ,vituo vya afya na jamii kwa kushirikiana na wahudumu wa afya wa kujitolea (wakala wa mabadiliko ya tabia ) katika kata zote wilayani nyamagana kwa kushirikiana na madiwani.watendaji wa kata,watendaji wa mitaa,waalimu na wafanyakazi wa idara ya afya kwenye zahanati na vituo vya kutolea huduma. – 2.Tosa inahamasisha wajawazito kuwahi kilinki mapema wanapojijua wana mimba...
(Not translated)
Hindura