Lengo kuu la asasi ni utunzaji wa mazingira katika dhana endelevu,kuelimisha umma juu ya Kilimo cha kisasa,kuwaelimisha wakulima na wafugaji dhidi ya kanuni bora ili kuondoa umaskini uliokithiri hapa nchini. – kuwahamasisha wananchi juu ya kukabiliana na magonjwa sugu kama vile ukimwi,malaria na TB. | (Bila tafsiri) | Hariri |