Base (Igiswayire) |
Kinyarwanda |
LENGO KUU:kuwa na vijana wenye maisha bora,endelevu,wlioelimika na kujua wajibu wao katika jamii na taifa kwa ujumla.
MALENGO MAHUSUSI:
- Kuanzisha miradi mbalimbali ya maendeleo itakayomilikiwa na vijana
- kupunguza/kuzuia mimba zisizotarajiwa,matumizi ya madawa ya kulevya na maambukizi ya ya vvu/ukimwi miongoni mwa vijana
- Kufanya ushawishi na utetezi wa maendeleo ya vijana kutokana na sera ya taifa ya vijana
- Kwa kuwa kiana upitia hatua ya mtoto,kufanya ushawishi na utetezi wa sera ya haki ya mtoto
- kufanya ushawishi na utetezi wa sera ya usawa wa jinsia ili kuharakisha maendeleo ya vijana bila kujali jinsi yao
- kufanya ushawishi na utetezi wa sera ya utunzaji wa mazingira miongoni mwa vijana na katika jamii.
- Kuboresha uelewa na kufanya ushawishi na utetezi kuhusu utawala bora na haki za binadamu katika jamii ili ijue na wajibu wao kwa taifa
|
|
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga
Injira ·
Iyandikishe