Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/pofadeo/post/3337
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Mafanikio ya POFADEO – Jumuiya hii tangu ilipoanzishwa imefanya mambo mengi. Jumuiya imewahi kushiriki katika maonyesho mbali mbali yayoandaliwa na The Foundation For Civil Socity ikiwa ni pamoja na yale maonyesho yanayofanyika katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Zanzibar, viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma na viwanja vya Mnazi mmoja Dar es salaam. – Katika maonyesho hayo, POFADEO inapata fursa ya kujifuza mambo mbali mbali kutokana na...
(Not translated)
Hindura