Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kuunganisha mashirika yasiokuwa ya Kiserikali yaliomo wilayani Bagamoyo ili kuwapatia maendeleo, umoja, na fursa ya kutangaza maendeleo yao katika ujenzi wa wilaya yao ya Bagamoyo. Kutangaza na kufahamisha jamii kuhusu maendeleo, changamoto na vivutio vya wilaya ya bagamoyo. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe