Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/woy/news
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ripot ya mafunzo ya kazi za mikono Vijana Simama Imara WOY Moshi – Utangulizi – White Orange inatekeleza mradi wa vijana simama imara. Mradi huu umefadhiliwa na SATF na una lengo la kuboresha maisha ya vijana wanoishi katika hali duni kwa kuwapa stadi za kazi na stadi za maisha. – Kwa zaidi ya miezi sita WOY imekuwa ikiwafundisha vijana elimu ya kazi ya mikono ambapo wastani wa watoto 25 wamekuwa wakikutana kila jumamosi kwa ajili ya mafunzo haya. Hadi kufikia sasa VSI wamejifunza...
(Bila tafsiri)
Hariri