Base (Swahili) | English |
---|---|
Mbunge wa jimbo la Tandahimba, Mh. Juma Abdallah Njwayo akiwahutubia wananchi katika sherehe ya jumuiya ya wazazi iliyoadhimishwa kiwilaya kijijini Luheya, kata ya Chaume wilayani Tandahimba April 11 2015. |
(Not translated) |