About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/tynf/post/21
: English
Base
English
katika kijiji cha matagata nimefanya id upya na kuwabaini mvcc wapatao – kuna baadhi ya mvccs wamehama, kwahiyo wanao wajibika kufanya kazi ni wachache – tayari nimesha waingiza wanakamati wapya ili wazibe nafasi za walio hama – mvccs wanahitaji mafunzo zaidi ili waweze kujua wajibu wao katika mradi huu wa pamoja tuwalee
in the village of matagata I made a new id to identify mvcc about – mvccs some have moved, so who is responsible to work fewer – already I have to admit new members who leave positions wazibe – mvccs need more training so they know their responsibilities in this project together tuwalee
Edit