Base (Swahili) | English |
---|---|
idadi ya mahudhurio haikua nzuri maafisa watendaji waendelee kuwashawishi wananchi wao wahudhurie mikutano ili waweze kuchangia mawazo yao watu hawapendelei mikutano kwa sababu wanaona inawapotezea muda wao wa kufanya shughuli zao nyingine za kuwaletea kipato elimu zaidi itolewe kwa wananchi ili watambue umuhimu wa kuhudhuria mikutano mahudhurio mabaya waTU WANAJALI SHUGHULIZAO BINAFSI ZA KUWAINFIZIA KIPATO NA SI KUPOTEZA MUDA WAO KUHUDHURIA KWENYE MIKUTANO ELIMU IENDELEE KUTOLEWA ZAIDI KWA WANANCHI ILI WATAMBUE HAKI YAO YA MSINGI YA KUTOA MAONI NA USHAURI WAO KUWA NINI KIFANYIKE KUTOKANA NA WWKMH
|
number of attendance is good ikua executive officers continue to encourage their citizens to attend meetings so they can contribute their ideas people are not impartial meetings because they feel inawapotezea their time doing activities to bring their other income further education should be given to citizens to recognize the importance of attending meetings poor attendance people WANAJALI SHUGHULIZAO PERSONAL INCOME AND NOT OF KUWAINFIZIA waste their time to attend the Meetings EDUCATION FOR THE PEOPLE continue provided more aware RIGHTS TO THEM THE BASIS OF THEIR GIVING OPINIONS AND ADVICE FROM THAT what can be done WWKMH |
Translation History
|