Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/temoa/projects
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Departments
(Bila tafsiri)
Hariri
KUWAJENGEA UWEZO VIONGOZI WA SERIKALI ZA MTAA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA ELIMU – Kuwajengea uwezo viongozi wa serikali za mitaa juu ya mbinu za kutatua changamoto zaelimu katika jamii wanazoongoza ni mradi mpya unaotarajiwa kutekelezwa na TEMOA mwaka 2015/2016. – Mradi unapangwa kutekelezwa katika halmashauri mbali mbali hapa nchini ikiwemo chato mkoani Geita. Shirika linaendelea na utafutaji wa fedha kwa ajili ya ufadhili...
(Bila tafsiri)
Hariri