About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/temoa/topic/123780
: English
Base
English
Departments
(Not translated)
Edit
Tunapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki zetu wote kote nchini kuonesha upendo kwa vijana wetu wanaofanya vizuri kwa kuwazawadia chochote kwani kufanya hivyo kunaongeza hamasa miongoni mwao. Wanafunzi wanhitaji kutambuliwa ili waendelee kusoma kwa bidii. Unaweza kupitisha mchango au zawadi yako katika shirika letu nasi tutaufikisha kama ulivyo na utapata taarifa za mchango wako punde tunapopokea na kuufikisha mchango huo. – BENEDICT BAGENI...
(Not translated)
Edit
OMBI KWA WADAU WA ELIMU KUJITOLEA CHOCHOTE KWA AJILI YA KUWAHAMASISHA WANAFUNZI WANAOFANYA VIZURI
(Not translated)
Edit