MAONI YA TEMOA KUHUSU ADHABU YA MWANAFUNZI MBEYA DAY SEKONDARI – Kwa masikitiko makubwa tunapenda kutoa pole kwa wale wote walioathirika kwa namna moja ama nyingine kutokana na kitendo, maamuzi, ama hatua zilizochukuliwa na upande wowote juu ya suala hili. – Kwa ujumla wake, sisi tuna maoni ambayo yaweza kuwa tofauti na ya wengine ama kufanana kwani... | (Bila tafsiri) | Hariri |