Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/temoa/post/7
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Ongezeko la idadi ya shule katka jamii linapaswa kwenda sambamba na ongezeko la ubora wa huduma kwa watoto. Ukubwa wa tatizo la waalimu linaweza kukwamisha kwa kiasi kikubwa ufanisi wa sera na mipango ya maendeleo ya kielimu. Tunashauri serikali iboreshe mazingira ya walimu kwa kuwapatia makazi na huduma za kijamii ktk maeneo ya shule wanazopangiwa ili waweze kubaki vituoni. Kwa mtazamo wetu, chanzo cha uhaba wa walimu wa sayansi ni mazingira mabovu ktk shule za serikali kwani ktk shule za...
(Bila tafsiri)
Hariri
Departments
(Bila tafsiri)
Hariri