Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/temoa/post/57
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Departments
(Bila tafsiri)
Hariri
KWA WALE WANAOSUBIRIA AJIRA SERIKALINI: – Tujaribu kuangalia hata fursa zingine zilizondani ya jamii zetu, temoa tunawashauri wajaribu kufuga kuku au wanyama wengine kisasa. Inalipa sana tu, kabla tangazo zuri au baya halijatolewa tena kwako endelea kufanya jambo ili hali isije kuwa mbaya sana hapo badae. jaribuni kuweka wazo la ziada na binafsi kidogo uone utakavyofaidika.
(Bila tafsiri)
Hariri