About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/temoa/post/51
: English
Base
English
Tunapenda kuwaalika ndugu jamaa na marafiki zetu wote kote nchini kuonesha upendo kwa vijana wetu wanaofanya vizuri kwa kuwazawadia chochote kwani kufanya hivyo kunaongeza hamasa miongoni mwao. Wanafunzi wanhitaji kutambuliwa ili waendelee kusoma kwa bidii. Unaweza kupitisha mchango au zawadi yako katika shirika letu nasi tutaufikisha kama ulivyo na utapata taarifa za mchango wako punde tunapopokea na kuufikisha mchango huo. – Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0757918700 au 0674827760
(Not translated)
Edit
Departments
(Not translated)
Edit
MWENYEKITI KATIKA PICHA NA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA SUMAYE BUZIKU WILAYANI CHATO (image) – (image) – (image) – (image)
(Not translated)
Edit