Kilimo ndio uti wa mgongo wa Tanzania wote waishio vijijini na ndio chanzo kikuu cha kipato kinachotumika kusomesha watoto wao. Ili kujihakikishia kuwa kila mtoto anapata haki ya kupata elimu ni muhimu kuwahakikishia wakulima kilimo chenye tija na masoko ya uhakika. Kuongeza wataalamu vijijini na kuwaelimisha wakulima namna bora ya kulima kama biashara ili waone manufaa ya kilimo. Lakini haya hatutayafikia kwa Jembe la mkono katu. Jembe la mkono ni mate so na haliwavutii vijana kujiingiza... | (Not translated) | Edit |