Base (Swahili) | English |
---|---|
MKURUGENZI WA TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI NDG. SAIDI NG'ONYE JOHN ni msimamizi mkuu wa Mradi wa UNASIHI NA UPIMAJI HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI. Hapa kuna Taarifa ya Utekelezaji ya Robo mwaka iliyopita ya Miezi ya Januari hadi Machi kwa Kata za Malatu na Mchemo Wilaya ya Newala. Taarifa inayotolewa ni kwa Muundo wa The Foundation For Civil Society. |
DIRECTOR OF THE INSTITUTE OF AIDS KITANGARI Mr. JOHN NG'ONYE Saidi is the chief administrator of the BTP project and testing voluntary HIV. Here is a report on the Implementation of the quarter in the previous months of January through March for the County of Malatu and Mchemo Newala District. Information provided is for the structure of The Foundation For Civil Society. |
Translation History
|