Mradi wa UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI ni endelevu, na sasa hivi Asasi imepokea fedha Sh.21,692,190/=(Milioni ishirini na moja mia sita tisini na mbili elfu mia moja tisini) kwaajili ya kufanya mafunzo ya unasihi katika kata Nne za Malatu,Mchemo,Mtopwa na C/Nandwahi. Mradi huu ulionesha mafanikio mazuri kwa kata za Kitangari na Maputi kwasababu baada ya mafunzo hayo kutolewa jamii imeonesha uelewa wa kutaka kujua Afya zao. ... | (Not translated) | Hindura |