Base (Swahili) | English |
---|---|
Mradi wa UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VIRUSI VYA UKIMWI ni endelevu, na sasa hivi Asasi imepokea fedha Sh.21,692,190/=(Milioni ishirini na moja mia sita tisini na mbili elfu mia moja tisini) kwaajili ya kufanya mafunzo ya unasihi katika kata Nne za Malatu,Mchemo,Mtopwa na C/Nandwahi. Mradi huu ulionesha mafanikio mazuri kwa kata za Kitangari na Maputi kwasababu baada ya mafunzo hayo kutolewa jamii imeonesha uelewa wa kutaka kujua Afya zao. Idadi ya watu wanaokwenda kupima kwa hiari kituo cha afya imeongezeka toka watu wawili kwa wiki hadi watu 6 (Sita). Pia akina mama wajawazito tabia ya kujifungulia majumbani imetoweka kabisa. |
BTP Project and voluntary testing for HIV / AIDS is sustained, and now has received financial institutions Sh.21, 692,190 / = (twenty one million six hundred ninety-two thousand one hundred ninety) in favor of making the training of counseling in the county Four Malatu, Mchemo, Mtopwa and C / Nandwahi. This project shows good progress to wards Maputi Kitangari and after the training because it provided the community demonstrated an understanding of wanting to know their health. Number of people who go for voluntary testing health center has grown from two people a week to the 6 (six). Also, the behavior of pregnant women deliver at home completely gone. |
Translation History
|