Log in

/teyoden/post/115516: English

BaseEnglish
Donation(Not translated)Edit
TANZIA – MTANDAO WA VIJANA MANISPAA YA TEMEKE UNAWATANGAZIA KUWA TUMEPATWA NA MSIBA WA KIJANA MWENZETU ABDUL BWANGA ALIYEKUWA AKIISHI KATA YA YOMBO VITUKA MANISPAA YA TEMEKE.MAZISHI YATAFANYIKA YOMBO DOVYA TAREHE 15/2/2014.VIJANA WOTE TUNATAKIWA KUSHIRIKI MAZISHI HAYO. (image) MAREHEMU ABDUL BWANGA WA PILI KUTOKA KUSHOTO...(Not translated)Edit