Base (Swahili) | English |
---|---|
Envaya ni nyenzo bora na rahisi sana katika kufanya mawasiliano ya kubadilishana habari na taarifa, ujuzi na uzoefu tofauti kuhusu masuala ya nyanja mbalimbali miongoni mwa jamii ya AZAKi hapa Tanzania na pengine duniani kote. Tunashukuru kwa ubunifu huu na tunatoa pongezi za dhati tukiamini kwamba mradi huu utakuwa endelevu kwa manufaa ya jamii ya AZAKi na watanzania kiujumla. |
(Not translated) |