Envaya
/taskinondoni/post/24101
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Asante sana kwa ufahamu huo juu ya maana ya ulemavu wa ngozi. – Good job!
(Not translated)
Hindura
JE ULEMAVU WA NGOZI NI NINI ?. Ulemavu wa ngoz ni hali isiyoambukiza inayotokana na vinasaba vya kurithi na hutokea dunia nzima. Wote Baba na Mama wanapaswa kuwa na vinasaba hivyo kwa mtoto kuzaliwa na hali hiyo. ulemavu wa ngozi ni matokeo ya ukosefu wa rangi kwenye nywele, ngozi na macho ambao vile vile unasababisha uoni hafifu na kudhurika kwa uraisi na mionzi ya jua na mwanga mkal. Atimae kusababisha salatani ya ngozi [ kansa].
(Not translated)
Hindura