TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO YA USHONAJI KWA WATU WENYE KIPATO KIDOGO – Tanzania Single Mothers and Youth Development Trust (TASMOYODET) kupitia kitengo cha mafunzo ya ujasilia-mali inatangaza nafasi za masomo ya ushonaji kwa miezi sita: – Masomo haya yatatolewa bure kwa familia zenye kipato kidogo hasa wasichana wanaofanya kazi majumbani(House girls) na wanawake wasiojiweza.
... | (Not translated) | Hindura |