About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/tasja/post/14
: English
Base
English
Iran kushirikiana na Tanzania katika sekta ya Sayansi – (image) – Elizabeth Mlay (kulia kwa waziri ) mwanafunzi wa kidato cha sita kutoka shule ya Sekondari Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam akimuelezea Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) jinsi ya kutengeneza dawa ya kusafishia na kuondoa harufu chooni. Waziri Prof. Makame alikuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa sherehe za mwaka wa...
Iran to cooperate with Tanzania in sectors of Sciences – (image) – Elizabeth Mlay (right to minister) of Form Six student from Desert existing secondary school in Dar es Salaam he described the Minister of Communications, Science and Technology Prof. Makame Barawa (left) how to make a drug refinery and toilet deodorant. Minister Prof. Makame was a special guest at the opening ceremony of the international year of chemistry...
Edit