About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/tawa/post/120251
: English
Base
English
FAMILIA NNE(4) ZAKOSA MAHALI PAKUISHI. – kufuatia mvua kubwa iliyonyesha tarehe 11 .04 .2012 jijini Dar es salaam imesababisha maafa makubwa katika maeneo mbalimbali ya jiji ikiwemo wakazi wa Mission Msikitini Mbagala wilaya ya Temeke kukosa makazi baada ya nyumba zao kubomoka kutokana na mvua hizo.Tawa imethibitisha hali hii baada ya kutembelea eneo hili na kujionea tafalani kubwa zilizosababishwa na maji.Wakazi hawa wanailalamikia serikali kwa...
(Not translated)
Edit