Base (Swahili) | English |
---|---|
IDARA YA HALI YA HEWA YATAHADHALISHA WAKAZI WA MABONDENI Wakati matatizo ya awali yaliyowapata wananchi waishio mabondeni kutokana na mafuriko hayajapatiwa ufumbuzi , hasa wakazi wa Keko mwanga Magulumbasi A na B ,Mission kizinga msikitini ,Tabata Kisukuru na wengineo ,tahadhali imetoka katika idara ya hali ya hewa kwamba kutakuwepo na madhala makubwa kutokana na mvua za vuli zitakazonyesha kwa muda mfupi.Hii ni pamoja na kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko kama maralia, kipindupindu na magonwa mengineyo,hivyo tunaomba hatua za haraka zichukuliwe ili familia hizo ziweze kunusurika na janga lililoko mbele yetu. |
(Not translated) |