Ibitwerekeyeho
Ikarita
Shakisha
Korera ubushake
Inkuru
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Injira
/tawa/post/101694
: Kinyarwanda
Base
Kinyarwanda
Kiashilia kikubwa cha maelezo hapo juu ni suala la mafuriko ,wananchi wameathirika na janga hilo lakini waliopata msaada ni asilimia ndogo sana na wahanga ambaaohawakufikiwa ,Keko, Mbagala ,Tabata , Tandale na maeneo mengineyo yamelalamika lakini hawakuchukua hatua yoyote hivyo kilio chao kubaki nacho wenyewe
(Not translated)
Hindura
Katika majumuisho ya wiki hii,tumugundua sababu kubwa zinazosababisha migogoro isiyoisha inayoikumba serikali yetu ya Tanzania.Hii ni kutokana na tabia za watanzania ambao wamezoea kulalamika bila kuchukua hatua,vile vile watanzania tuna kasumba ya kusahau.Kutokana na sababu hizi watanzania tuamke ,tuwajibike ,kwa kuchukua hatua kwa kufika mahali husika ,tupeleke ujumbe na hoja zetu kwa maandishi ili malalamiko yetu yawe na kumbukumbu ,kwani haki haipatikani bila kuipigania na hatima...
(Not translated)
Hindura