Fungua

/tawa/post/102006: Kiswahili: WI000236EC4B012000102006:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

DHIMA YETU ni    Kuwa na jamii yenye usawa na isiyobagua katika nyanja zote ,kiuchumi,kisiasa na kijamii na inayojumuisha makundi yote(kila raia )wa Tanzania.

 

DIRA YETU ni

Kutengeneza mikakati itakayoibua na kutetea  haki za binadamu,wanawake na watoto kwa kuwajengea uwezo uhamasishaji mawasiliano ,  na kuwa na mahusiano na serikali na vyombo visivyo vya ki serikali kitaifa na kimataifa

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe