Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/tawa
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Tanzania women of Action ni shirika lisilo la kiserikali ambalo limeanzishwa na baadhi ya wanawake lenye nia ya kufanya kazi na jamii ya wanawake na watoto.Shirika hili limeanzishwa hapa Dar es salaam na limejisajili kufanya kazi Tanzania nzima,Tawa imeanzishwa mwaka 2007 na kusajiliwa mwaka 2012.Kazi kubwa ambayo imeishafanywa na Tawa ni kuwaelimisha wanawake jinsi ya kujitegemea kwa kjifanyia biashara zao wenyewe,kama vile ushoaji, kuchonga vinyago,kutengeneza sabuni...
(Bila tafsiri)
Hariri