Hii ni nchi yetu watanzania, sisi sote kwa namna moja ama nyingine tumepitia shida, tabu na matatizo ya kila aina, lakini twaweza kuwa hatuko katika hali hiyo kwa namna ile. Jiulize, na fikiria ni kwa jinsi gani uliumia na kuhangaika kutafuta namna ya kutoka katika hali ile uliokuwa nayo. – Tuna vijana wengi kwa sasa wanaopitia shida na matatizo mengi sana, wengine hawana pesa ya kulipa karo ya shule, hawana pesa ya kujipatia... | (Bila tafsiri) | Hariri |