Fungua

/taswo: Kiswahili: WI0000A9A1CF459000057522:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili
  • Kuyaleta pamoja makundi ya wamama wajane na watoto waishio katika mazingira magumu na hatariishi
  • Kushughurikia matatizo yanayowakuta wamama wajane na wasiojiweza katika maisha ya sasa na waishio na virusi vya ukimwi na ukimwi
  • Kusimamia na kuratibu shughuri zote ziwakutazo watoto waishio katika mazingira hatarishi na kuwasaidia wajitambue katika yale yawahusuyo

 

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe