Base (Swahili) | English |
---|---|
Hivi sasa TARUCODEFU imekamilisha shughuli za utafiti shirikishi vitendo kuhusu tatizo la uhaba wa mai safi na salama kwa matumizi ya nyumbani linalo wakabili wakazi wa wilaya ya Mkuranga. Utafiti huu uligharimu jumla ya fedha kiasi cha shilingi za kitanania zipatazo 9,750,000/=. Fedha hizo zilipatikana kwa ufadhili wa shirika la utafiti na kupambana na umasikini nchini Tanzania la REPOA. MAFANIKIO Utekelezaji wa utafiti huu, umeleta mafanikio makubwa ambapo sasa jamii ya watu wanaoishi kando kando ya vijiji vinavyo zunguka vyanzo vya maji katika wilaya ya Mkuranga imetambua kiini cha tatizo lao na kwamba tayari umesha undwa mradi utakao saidia kuondosha tatizo hilo. Hata hivyo utekelezaji wa mradi huu bado hauja anza kwa kuwa maombi ya fedha yaliyopelekwa kwa wafadhili bado hayajajibiwa. Tunaomba ushirikiano kwa wana Azaki wote ili kuweza kutekeleza mradi huo muhimu. |
Currently TARUCODEFU has completed a collaborative research activities practical about the problem of lack of clean and safe mai household bills hidden and Mkuranga district residents. This study was the total cost of funds amounting to about 9.75 million shillings kitanania / =. These funds were obtained for the funding of research organization and combat poverty in Tanzania's REPOA. ACHIEVEMENTS Implementation of this research, has brought great success which is now a community of people living in villages along the drafts around water sources in Mkuranga District has recognized the essence of their problem and that you have already created a project which will help wipe out the problem. However, implementation of this project is still slavery began to be forwarded to the application of donor funds still went unanswered. We have cooperation with all NGOs in order to implement this important project. |
Translation History
|