Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
Kuona jamii bila umaskini. kusaidia jitihada za serikali kuiletea jamiimaendeleo kwa kufanya ushawishi na utetezi wa haki za binaadamu,kutafsiri sera kujenga uwezo wa jamii,kutoa elimu na kuhamasisha utwala bora kwenye rasilimali za taifa ikiwemo mazingira hasa misitu ,wanyama pori na samaki. |
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe