Log in

/sadef/post/8846: English: WI0006B7BE3E7FD000008846:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

Katibu Mtendaji wa sakale Development Foundation  ndugu Alex Mbwilo akisoma risala kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza Kabla ya Mafunzo juu ya Utawala bora Kwa viongozi wa Serikali za vijiji kuanza.

Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mh. Metthew Nasei akifungua Mafunzo juu ya utawala bora kwa Wajumbe wa halmashauri za serikali za wa vijiji katika kata ya Kisiwani, tarafa ya Amani.

Washiriki wa mafunzo juu ya utawala bora wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya ya Muheza [mwenye suti nyeusi katika]

Washiriki wa Mfunzo juu ya utawala bora katika ngazi ya vijiji katika vijiji vya Mikwinini na Mlesa kata ya Kisiwani  wakijengewa uwezo wa kuongoza.

Washiriki wa Mafunzo juu ya utawala bora katika ngazi ya vijiji wakiwa katika kazi za vikundi vikundi

Washiriki wakiwa kwenye kazi za vikundi

Mshiriki wa Mafunzo juu ya utawala bora katika ngazi ya vijiji akiwasilisha kazi ya kikundi chake.

 

Executive Secretary sakale Development Foundation Mbwilo brother Alex was reading the messages in Muheza District General Before Training on Good Governance for village government leaders to begin.

Muheza District General Hon. Metthew Nasei opening training on good governance for members of the council of governments of the villages in the county of Islander, divisions of the Peace.

Participants of the training on good governance as in the picture with the guest, the head of the Muheza district [a black suit on]

Participants of the training on good governance at local level in rural and Mlesa Mikwinini they cut the Islander lead capacity building.

Participants of the training on good governance at local level in group work with groups

Participants were the work of groups

Associate Training on good governance at local level he presented the work of his group.


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
May 27, 2012
(image) Executive Secretary sakale Development Foundation Mbwilo brother Alex was reading the messages in Muheza District General Before Training on Good Governance for village government leaders to begin. – (image) – Muheza District General Hon. Metthew Nasei opening training on good governance for members of the council of governments of the villages in the county of Islander, divisions of the Peace. ...
Google Translate
March 5, 2011
(image) Executive Secretary sakale Development Foundation Mbwilo brother Alex was reading the messages for the Head of the Muheza district of Prior Training on Good Governance for the village government leaders to begin. – (image) – Muheza District General Hon. Metthew Nasei opening training on good governance for members of the council of governments in the villages in the county of the Islander, divisions of Peace. ...
This translation refers to an older version of the source text.