Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mh. Metthew Nasei akifungua Mafunzo juu ya utawala bora kwa Wajumbe wa halmashauri za serikali za wa vijiji katika kata ya Kisiwani, tarafa ya Amani. Washiriki wa mafunzo juu ya utawala bora wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mkuu wa wilaya ya Muheza [mwenye suti nyeusi katika] Washiriki wa Mfunzo juu ya utawala bora katika ngazi ya vijiji katika vijiji vya Mikwinini na Mlesa kata ya Kisiwani wakijengewa uwezo wa kuongoza. Washiriki wa Mafunzo juu ya utawala bora katika ngazi ya vijiji wakiwa katika kazi za vikundi vikundi Washiriki wakiwa kwenye kazi za vikundi Mshiriki wa Mafunzo juu ya utawala bora katika ngazi ya vijiji akiwasilisha kazi ya kikundi chake.
|
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe