About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/UVIKITWE/post/82390
: English
Base
English
HONGERA KWA KAZI NZURI.MSIISHIE HAPO TU
(Not translated)
Edit
Ushauri wako tunauheshimu na kuuthamini sana tusaidiane kiushauri ili tuweze kuboresha shughuli hizi za jamii.
(Not translated)
Edit
Mradi wa elimu ya kina kuhusu uwezo kujikinga na maambukizi ya VVU/UKIMWI kwa wafanya biashara za ngono na watumiaji wa dawa za kulevya katika maeneo ya machimbo ya Dar-pori, Masuguru, Mpepo na Lukarasi yalioko katika wilaya ya Mbinga - mkoa wa Ruvuma. Mradi huu umeweza kuleta mabadiliko makubwa sana kwa wlengwa wa moja kwa moja, baada ya kupewa elimu ya stadi za maisha na kuweza kuwajengea uwezo wa kujitambua na kutambua mahitaji yao ya msingi, pia mradi huu umeweza...
Project detailed knowledge about the ability to prevent transmission of HIV / AIDS for sex trade workers and drug users in the areas of Dar-wild quarry, callousness, which is in the wind and District Lukarasi Mbinga - Ruvuma Region. This project has been able to bring significant change to the beneficiary directly, after receiving knowledge of life skills and to build their capacity to recognize and identify their primary, also project you can make a difference to...
Edit