MADHUMUNI – Shirika litakuwa na madhumuni yafuatayo: - – (a) Kufanya tafiti mbalimbali zinazohusu maendeleo ya jamii na kuziandika katika vyombo mbalimbali vya habari; – (b) Kuijengea uwezo jamii iweze kuzuia, kukabiliana na kuondoa changamoto zote wanazokutana katika kufikia maisha bora na mazuri; – (c) ... | OBJECTIVES – The organization will have the following purposes: - – (A) Conducting various studies relating to social development and to write in various media; – (B) it can build community capacity to prevent, combat and eliminate all the challenges they zokutana in achieving a better life and good; ... | Edit |