Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/UNATZ/topic/123776
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
KILA GOTI LITAPIGWA KWA MUUMBA HIVYO HEBU TUMKUMBUKE MUUMBA WETU KIPINDI HIKI CHA UJANA WETU KWA KUWAPENDA WATOTO HATA KAMA SI MWANAO WA KUMZAA NAWAOMBA SANA WATU WOTE WENYE WALEZI WA WATOTO WAO MAJUMBANI HUSUSANI WALE WENYE UMRI MDOGO HEBU WAJALINI HAWA WALEZI KWANI WENGI WETU HUWATOA VIJIJINI NA KUWARUBUNI KUJA KUWASOMESHA ,NA WALE WOTE WENYE MAKAO YA KULEA WATOTO PIA UONAPO MTOTO BARABARANI BASI TUWALINDE NA KUWATHAMINI PIA KUWAPENDA
(Bila tafsiri)
Hariri
KUIBUA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA HATARISHI (WWKMH)
(Bila tafsiri)
Hariri