Base (Igiswayire) |
Kinyarwanda |
Tuko pamoja katika kuomboleza msiba huu mkubwa katika taifa letu Hali hii kwa sasa iko katika baadhi ya mikoa na athari kubwa imetokea Dar es Salaam na tunasikia na kuona baadhi ya taasisi,watu binafsi n.k ikiwa ni pamoja na serikali zikichukua hatua kuwanusuru wahanga Hima wana azaki tuwaunge mkono HAWA WASAMARIA WEMA kukabiliana na majanga na janga hili la mafuriko na mengine yanayotukumba na kurejea mara kwa mara ikiwa ni pamoja na ajali za barabarani na majini Naamini tuna uwezo mkubwa wa kutoa elimu na kuhamasisha jamii kuleta mabadilko na kuchukua tahadhari mahususi kuliko hali iliyopo ya kila ikitokea na kimsingi bado yataendelea kutokea kulaumiana kwa hili na lile na kunyosheana vidole Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuibadili hali hii Tubadilike sisi kwanza kwa kuchukua hatua ndipo tuanze kuwabadili na wengine! Kwa pamoja twende tutafika mbali
|
|
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga
Injira ·
Iyandikishe