About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/VOYOHEDE/post/7
: English
Base
English
sababu ya kuwapeleka hawa vijana JKT haiko wazi kihivyo sana kwani wanafundisha hawa vijana mbinu nyingi na aplication zero sasa basi tuanaomba hizo gharama za training zibadilishwe kwani wanapata ujuzi wasioutumia hizo fedha zikajenge maabara kwa sasa wakishajua wakifanya training watawapeleka wapi basi waendelee na zoezi lao sio kututafutia taabu wimbi la wezi ugaidi usio na kikomo,na makundi mengi ya kihalifu yasiyokuwa na mipaka
(Not translated)
Edit
UTEKELEZAJI WA MPANGO WA MAFUNZO YA JKT KWA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA NI KUWEKA MATABAKA. – Itakumbukwa kuwa ongezeko la idadi ya watu Tanzania ni kubwa sana,na miongoni mwao ni vijana, wakati serikali inakabiliwa na changamoto ya kuwawezesha vijana kiuchumi kwa kuwahakikishia elimu ilio bora limekuja wazo la kuwapeleka vijana JKT kwa mujibu wa sheria, vijana hawa ni wale tu waliofaulu kidato cha sita wakapata daraja la kwanza na la pili na wale...
(Not translated)
Edit