Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/VOYOHEDE/post/21
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
Hongera kwa kazi mzuri,keep it up!
(Bila tafsiri)
Hariri
Napenda kuwapa taarifa kuwa ule mradi wa utetezi, tumesha kwisha saini mkataba na hivi sasa tunasubiri pesa hizo kuingizwa katika akaunti yetu, mradi huu utatekelezwa katika kata ya Majengo shule ya sekondari umoja, tunaomba sana uvumilivu wenu kwani wafadhili nao wanatafuta pesa ni imani yetu kuwa zitakapo patikana mradi huu utaanza mara moja. – Pia kuna kazi za kujitolea ambazo zinaendelea Mtwara na Dar es salaam, kazi hizi ni muhimu sana kwani ni sera ya shirika letu kujitolea...
(Bila tafsiri)
Hariri