Envaya

/TOU/history: Kinyarwanda: WIK3yUcv7vyYQJVfYpEAWzrs:content

Base (Igiswayire) Kinyarwanda

HISTORIA YA ASASI YA TUSHIKAMANE ORGANIZATION

Asasi ya Tushikamane Organization ilisajiliwa rasmi tarehe 29/6/2011 na kupata usajili 00004721 katika wizara ya maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto na kufanya kazi katika mikoa yote Tanzania Bara.

Asasi ina jumla wanachama waanzilishi 34,wanawake w16 na wanaume 18.Makao makuu ya asasi yapo Kijiji cha Kikundi Morogoro Vijijini.asasi imeweza kupanua wigo wa wadau wake wa maendeleo ambao inashirikiana nao katika kuhamasisha maendeleo ya jamii ni pamoja na Umoja wa mashirika yasio ya kiserikali mkoa wa Morogoro(UNGO) na MONGONET.

Asasi iliweza kupata ruzuku kutoka The foundation for Civil Society kwa ajili ya kuwawajengea uwezo wanachama na viongozi.Ruzuku hiyo imepatikana mapema mwaka huu.

 

(Not translated)

Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe