Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TYNF/post/39
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
mahudhurio ya wananchi yatakua mazuri zaidi endapo tutawafuata kwenye kata zao na si kuwakusanya sehemu moja – management iangalie uwezekano wa kufanya ipg meeting kwa kila kijiji na si kwa kila kata kama ilivyo kwa sasa ili kuwapa wananchi nafasi ya kuelezea mawazo yao kutoka katika bijiji vyao na si kwenda katani
(Bila tafsiri)
Hariri