Base (Swahili) | English |
---|---|
elimu zaidi iendelee kutolewa kwa wanakamati ili wajue kazi na majukumu yao ili utendaji wao wa kazi uwe mzuri wanakamati wapewe semina angalau mara moja kwa kila mwezi ili wakumbushwe majukumu yao |
further education continue to be provided to committee members know their duties and responsibilities to its performance going committee members should be given a workshop at least once every month to be reminded of their responsibilities |
Translation History
|