c)watoto wanamapungufu makubwa ya mahitaji ya msingi kama vile chakula,elimu na mavazi – d)wananchi na jamii ishirikishwe katika suala zima la kuhudumia watoto walio katika mazingira hatarishi. – e)jamii imezoea kupewa(kupokea) misaada na siyo kujihusisha(kuhusika) katika suala la uchangiaji huduma kwa watoto walio katika mazingira hatarishi – -wazazi na walezi wakiwezeshwa(kuboreshewa) uchumi katika familia wataweza kuwapa watoto wao huduma za msingi.... | c) children are suffering from a lack of basic needs such as food, education and clothing – d) the people and communities in the context ishirikishwe at children who are vulnerable. – e) community imezoea given (receiving) grants and not get involved (involved) in terms of funding of services for children in risky – -Parents and guardians were empowered (actually use improved) economy in the family will be able to give their children the basic service.... | Edit |