Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TYNF/post/40
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
kushawishi na kuihamasisha jamii kuhusu ushiriki wao katika mradi wa pamoja tuwalee – wananchi bado wanauelewa mdogo kuhusiana na mradi wa pamoja tuwalee, wao wanadhani ni jukumu letu sisi maafisa kuwaleawwkmh – elimu zaidi iendelee kutolewa ili watambue kuwa ni jukumu letu wote kuwalea kama mradi wenyewe unavyo jieleza. – wananchi hawapo serious katika kutambua majukumu yao ya kuwalea na kuwahudumia watoto waishio katika mazinfira hatarishi ...
(Bila tafsiri)
Hariri