Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/TYNF/post/37
: Kiswahili
Asili
Kiswahili
vijiji vingi vipo mbalimbali.. hii imesababisha watu wengi kushindwa kukutana katika eneo moja kutokana na umbali wa maeneo husika – d)ratiba ifanyiwe marekebisho kwani kutokana na umbali wa maeneo watu wengi wamekuwa wanachelewa kufika katika mhutano...hii inasababisha mkutano kuchelewa kuanza pia kuchelewa kwa shughuli nyingine – h)jamii imeelewa malengo ya mradi wa pamoja tuwalee pia imeahidi kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha utekelezaji wa mradi ...
(Bila tafsiri)
Hariri